MADHARA YA KUKOSA CHOO KWA BINADAMU
  • November 14, 2024 12:46 pm
  • 6634+9P2, Nelson Mandela Rd, Dar es Salaam, Tanzania
Popular
UGX185

ADHARA YA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU

 

👉🏻Tatizo Hili ni sugu sana miongoni mwa watu wengi na kwa watoto wadogo pia Bila kujua ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka hata hivyo wengi huwa wanapuuzia na kuona ni tatizo la kawaida,

LAHASHA!!! Napenda kukuambia rafiki tatizo la kutopata choo kwa Muda mrefu ndio chanzo cha magonjwa mengine tena ya hatari zaidi kwasababu mtu unapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa

 

uchafu unaotakiwa kutoka hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea unahamia kwenye damu na kuwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kukuathiri zaidi

 

👉🏻Kwa kawaida mtu anapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja mbili kwa siku au mara Tatu kwa siku (je wewe unapata choo Mara ngapi?) Hivyo iwapo unakosa choo kwa siku Tatu ilhali unakula elewa moja kwa moja una tatizo katika mfumo wa mmeng’enyo

 

CHANZO CHA TATIZO HILI LA KUTOPATA CHOO

👉🏻Tatizo hili husababishwa zaidi na ulaji mbovu wa vyakula na kutokujizoesha kwenda haja mara kwa mara pia kula vyakula vilivyokobolewa na matumizi mabaya ya dawa na magonjwa mengine pia mabadiliko ya hormone

 

DALILI ZA KUTOPATA CHOO

 

Dalili za tatizo hili ni ÷

👉🏻KUPATA HOMA KALI

KUTETEMEKA KWA BARIDI

KUTUMIA NGUVU NYINGI NA MUDA MWINGI KUJISAIDIA

ULIMI KUWA NA UTANDU MWEUPE NA KUTOA HARUFU MBAYA

KUKOSA HAMU YA KULA

TUMBO KUJAA GESI

KUPATA VIDONDA SEHEMU YA NNJE YA HAJA KUBWA

 

NAMNA YA KUTIBU NA KUEPUKA TATIZO LA KUTOPATA CHOO

👉🏻matibabu ya tatizo la kutopata choo kwa ufup ni magumu na marahisi pia kutokana na ukubwa wa tatizo pia hata hivyo kila mtu

anaweza kujikinga na tatizo hili kwa kufuata kanuni za ulaji wa lishe bora kwasababu tatizo la kutopata choo husababishwa na namna

unavyokula au kuishi hivyo ukifuata kanuni za lishe bora tatizo hili

 

halitakupata hivyo njia sahihi ya kujikinga na tatizo la kutopata choo ni kula nafaka zsizokobolewa, matunda, mbogamboga na maji kwa wingi

 

MATIBABU

👉🏻Hufanyika kwa kuangalia ukubwa wa tatizo na Hali ya mhusika kwan matibabu ya mtoto sio sawa na ya mtu mzima mwenye miaka 70 Hali kadhalika tatizo hili likijulikana mapema huwa rahisi kulikabili tofauti na tatizo la mda mrefu ambapo tiba

 

Yake huweza kuwa kubwa haswa ambapo tiba Yake huhusisha vidonge na chakula na hata kufanyiwa upasuaji kuondoa kinyesi kilichoganda katika damu na kuendelea na matibabu ya chakula

 

MADHARA YA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU NI

👉🏻KUPATA SARATANI YA UTUMBO

FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI VIZURI

KUPATA PRESHA NA KUPATA UGONJWA WA INI

KUPATA MAGONJWA YA MOYO HARUFU MBAYA MDOMONI na BAWASIRI au KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA. NK.

 

KUMBUKA

zingatia kula milo mitatu kila siku, kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi(high fibre diet), kunywa maji mengi na fanya mazoezi mara kwa mara pia usizoee kutumia dawa za kemikali ovyo ovyo.

Na kama tayari unatatizo na umejaribu kila namna imeshindikana

Tuwasilieane   Namba     0684450076

Overview

Features:

  • 1

Location

6634+9P2, Nelson Mandela Rd, Dar es Salaam, Tanzania

Leave feedback about this

  • Quality
  • Price
  • Service