FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA YAKE
Vidonda vya tumbo(Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokana na mfumo wa Maisha, ulaji mbaya na Mazingira tunayoishi Kwa ujumla. Ugonjwa huu unasababisha kuwa na michubuko katika kuta za tumbo au utumbo mdogo na hivyo kusababisha maumivu makubwa ya tumbo.
Wakati mwingine vidonda hivi huonekana kati ya tumbo na utumbo mdogo hivyo kitaalam unaitwa PEPTIC ULCERS, aina hii ya vidonda vya tumbo huwaathiri sana Wanaume kuliko wanawake. Bacterium’ Helicobacter Pylori ndio husababisha ugonjwa huu.
DALILI ZA KUWA NA VIDONDA VYA TUMBO
▪️Mwili kuchoka bila sababu maalum
▪️Kuumwa mgongo au kiuno
▪️Kupungukiwa nguvu za kiume
▪️Kizunguzungu
▪️Kukosa Usingizi
▪️Kichefuchefu
▪️Kiungulia
▪️Tumbo kujaa gesi
▪️Tumbo kuwaka moto
▪️Kukosa choo au kupata choo kwa shida
▪️Kutapika nyongo
▪️Kutapika damu au kuharisha
▪️Sehemu za mwili kupata ganzi
▪️Kukosa hamu ya kula
▪️Kusahau sahau na hasira bila sababu
Hizo ni baadhi tu ya dalili za kuwa na vidonda vya tumbo lakini zipo nyingi, hivyo basi pindi uonapo moja kati ya hizo dalili ni vyema ukaenda kupima vidonda vya tumbo mapema.
Ma maelezo zaidi fika ofisini kwetu mlimani City, wasiliana nasi
+255684 450 076
Overview
- Condition: New
Features:
- 5
Leave feedback about this